Huduma Zetu

Tunatoa huduma kamili za digital ili kusaidia biashara yako kukua na kufikia wateja wengi zaidi.

Domain Registration

Sajili domain yako kwa bei nafuu na uhakika wa ubora.

Popular

.co.tz Domain

Domain ya Tanzania inayofaa biashara zote za ndani. Inaaminika na wateja wa Tanzania.

TSh 30,000 / mwaka
  • .co.tz Extension
  • DNS Management
  • Free WHOIS Privacy
  • 24/7 Support
Sajili Sasa

Domain Nyingine

Sajili .org, .net, .info, .biz, .online na zaidi. Chagua extension inayokufaa zaidi.

TSh 35,000 / mwaka
  • .org / .net / .info
  • DNS Management
  • Free WHOIS Privacy
  • 24/7 Support
Sajili Sasa
Web Hosting

Hosting ya haraka, salama, na ya kuaminika kwa website yako.

1GB Hosting

Hosting ya msingi kwa website ndogo au blog. Inafaa kwa kuanzia.

TSh 100,000 / mwaka
  • 1GB Storage
  • 10GB Bandwidth
  • Free SSL
  • Unlimited Emails
  • 24/7 Support
Chagua

Unlimited Hosting

Hosting kamili kwa biashara kubwa. Hakuna kikomo cha storage au bandwidth.

TSh 450,000 / mwaka
  • Unlimited Storage
  • Unlimited Bandwidth
  • Free SSL
  • Unlimited Emails
  • Priority Support
  • Daily Backups
Chagua
Website Design

Tunatengeneza websites za kisasa, za kitaalamu, na zinazoendana na simu.

Basic Website

Website rahisi kwa biashara ndogo au portfolio. Inafaa kwa kuanzia.

TSh 300,000 / mradi
  • 3-5 Pages
  • Mobile Responsive
  • Contact Form
  • Basic SEO
  • 1 Month Support
Anza

Custom Website

Website maalum kulingana na mahitaji yako. Tunakusikiliza na kutengeneza kile unachotaka.

Inakadiriwa
Kuanzia TSh 300,000
  • Unlimited Pages
  • Custom Features
  • E-commerce Ready
  • Advanced SEO
  • 6 Months Support
  • Custom Integrations
Wasiliana
Web Applications

Una wazo la app? Tunakusaidia kuleta wazo lako kwenye app halisi.

Revenue Share

Tushirikiane faida. Unalipa TSh 500,000 na tunashirikiana faida inapoingiza pesa.

TSh 500,000 / mradi
  • Idea Development
  • Full App Build
  • Revenue Sharing
  • Ongoing Support
Tuma Wazo

Custom Quote

Una mahitaji maalum? Tujulishe na tutakupa quote inayokufaa.

Inakadiriwa
Kuanzia TSh 500,000
  • Custom Development
  • Tailored Features
  • Flexible Timeline
  • Dedicated Support
Wasiliana
Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Maswali Yanayoulizwa

Je, ninahitaji kuwa na domain kabla ya hosting?

Hapana, unaweza kuagiza zote pamoja. Tunakusaidia kusajili domain na kuunganisha na hosting.

Je, website yangu itakuwa salama?

Ndiyo, tunatoa Free SSL kwa hosting zetu zote. Pia tunafanya backups za kila siku.

Je, naweza kubadilisha mpango wa hosting baadaye?

Ndiyo, unaweza ku-upgrade au ku-downgrade mpango wako wakati wowote.

Je, mnatoa msaada wa kiufundi?

Ndiyo, tunatoa msaada 24/7 kwa wateja wetu wote. Wasiliana nasi kwa simu, email, au WhatsApp.

Je, ninalipa kwa njia gani?

Unakubali malipo kupitia ClickPesa (Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, na bank transfer).

Je, website yangu itaonekana kwenye Google?

Ndiyo, tunajumuisha SEO ya msingi katika website zetu zote. Tunakusaidia kuonekana kwenye Google.

Uko Tayari Kuanza?

Chagua huduma unayoitaka na anza safari yako ya digital leo.

Jiunge Sasa